Skip to main content

Helmut Schmidt Viungo vya nje | UrambazajiBiography at the German Historic Museum (German)Chancellor Site (German)Helmut Schmidt University (English)Die Selbstbehauptung Europas im neuen Jahrhundert (German, 2000)Kröten und Paragrafenwahn (German, 2006)Schmidt's talk on the occasion of China's Prime Minister Wen Jiabao visiting Hamburg (English, 2006)Interview on nuclear strategy in EuropeC-SPAN Booknotes interviewMen and Powers: A Political Retrospectivehkuihariri na kuongeza habariHelmut Schmidt

Waliozaliwa 1918Watu walio haiMachansela wa UjerumaniMbegu za wanasiasaWanasiasa wa SDPWanachama wa Bundestag ya UjerumaniMawaziri wa serikali ya Ujerumani


23 Desemba1918HamburgShirikisho la Jamhuri ya watu wa UjerumaniVita Kuu ya Pili ya DuniaHamburgSPD1949BundestagWaziri wa UlinziWaziri wa FedhaWilly BrandtBundeskanzler












Helmut Schmidt




Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Jump to navigation
Jump to search




Helmut Schmidt


Helmut Heinrich Waldemar Schmidt (amezaliwa 23 Desemba 1918 mjini Hamburg) ni mwanasiasa wa Kijerumani na pia alikuwa chancela wa Shirikisho la Jamhuri ya watu wa Ujerumani kuanzia 1974 hadi 1982.


Helmut Schmidt alizaliwa mjini Hamburg mnamo 1918. Alimaliza shule yake mnamo 1937. Baada ya hapo akawa anafanya kazi katika makampuni kadhaa na baadaye akaja kujiunga na jeshi. Mwishoni mwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia alikuwa Luteni wa kwanza kuchaguliwa kwa nchi ya Ujerumani tangu vita kwisha. Pia alishawahi kuwa mfungwa wa vita kunako mwaka wa 1945.


Baada ya kuachiwa huru akarudi tena masomoni na akaanza kusomea mambo ya uchumi. Alihitimu masomo yake hayo kunako mwaka wa 1949. Baada ya hapo akawa anafanya kazi ya utumishi katika mji wa Hamburg.


Alijiunga na chama cha SPD mnamo mwaka wa 1949. Mnamo 1953 akawa mwanachama wa Bundestag kwa mara ya kwanza. Kuanzia 1961 hadi 1965 alikuwa Seneta wa jimbo la serikali la Hamburg.


Kuanzia 1969 hadi 1972 alikuwa Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ya Magharibi, na kuanzia 1972 hadi 1974 alikuwa Waziri wa Fedha.


Baada ya Willy Brandt kuachia ngazi kuwa kama Bundeskanzler, Helmut Schmidt akachaguliwa kuwa chancela mpya wa Ujerumani.



Viungo vya nje |


  • Biography at the German Historic Museum (German)

  • Chancellor Site (German)

  • Helmut Schmidt University (English)

  • Majadiliano:
    • Die Selbstbehauptung Europas im neuen Jahrhundert (German, 2000)

    • Kröten und Paragrafenwahn (German, 2006)

    • Schmidt's talk on the occasion of China's Prime Minister Wen Jiabao visiting Hamburg (English, 2006)


    • Interview on nuclear strategy in Europe for the WGBH series, War and Peace in the Nuclear Age


    • C-SPAN Booknotes interview in 1990 about his book, Men and Powers: A Political Retrospective.





Administradors.png
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Helmut Schmidt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

WikiMedia Commons


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Helmut Schmidt










Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Helmut_Schmidt&oldid=929694"










Urambazaji


























(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.096","walltime":"0.160","ppvisitednodes":"value":752,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":23496,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":8261,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":13,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":0,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 109.953 1 -total"," 91.53% 100.641 1 Kigezo:Kanzler"," 86.47% 95.080 1 Kigezo:Navbox"," 50.53% 55.561 4 Kigezo:Flag"," 12.86% 14.140 1 Kigezo:Country_data_Jamhuri_ya_Weimar"," 12.07% 13.273 1 Kigezo:Country_data_Ujerumani"," 11.79% 12.963 1 Kigezo:Country_data_Ujerumani_ya_Kinazi"," 11.36% 12.490 1 Kigezo:Country_data_Dola_la_Ujerumani"," 7.10% 7.811 1 Kigezo:Navbar"," 3.43% 3.766 1 Kigezo:Commons"],"cachereport":"origin":"mw1261","timestamp":"20190414134115","ttl":2592000,"transientcontent":false);mw.config.set("wgBackendResponseTime":112,"wgHostname":"mw1333"););

Popular posts from this blog

Get product attribute by attribute group code in magento 2get product attribute by product attribute group in magento 2Magento 2 Log Bundle Product Data in List Page?How to get all product attribute of a attribute group of Default attribute set?Magento 2.1 Create a filter in the product grid by new attributeMagento 2 : Get Product Attribute values By GroupMagento 2 How to get all existing values for one attributeMagento 2 get custom attribute of a single product inside a pluginMagento 2.3 How to get all the Multi Source Inventory (MSI) locations collection in custom module?Magento2: how to develop rest API to get new productsGet product attribute by attribute group code ( [attribute_group_code] ) in magento 2

Category:9 (number) SubcategoriesMedia in category "9 (number)"Navigation menuUpload mediaGND ID: 4485639-8Library of Congress authority ID: sh85091979ReasonatorScholiaStatistics

Magento 2.3: How do i solve this, Not registered handle, on custom form?How can i rewrite TierPrice Block in Magento2magento 2 captcha not rendering if I override layout xmlmain.CRITICAL: Plugin class doesn't existMagento 2 : Problem while adding custom button order view page?Magento 2.2.5: Overriding Admin Controller sales/orderMagento 2.2.5: Add, Update and Delete existing products Custom OptionsMagento 2.3 : File Upload issue in UI Component FormMagento2 Not registered handleHow to configured Form Builder Js in my custom magento 2.3.0 module?Magento 2.3. How to create image upload field in an admin form